Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sidonians: That God should be glorified in the judgments upon them

3 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu That God should be glorified in the judgments upon them

  1. “Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Sidoni, ukatabiri dhidi yake,

  2. nawe useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Mimi ni kinyume chako, ee Sidoni, nami nitapata utukufu ndani yako. Nao watajua kwamba Mimi ndimi Bwana, nitakapotekeleza hukumu zangu na kuonyesha utakatifu wangu ndani yake.

  3. Nitapeleka tauni ndani yake na kufanya damu itiririke katika barabara zake. Waliochinjwa wataanguka ndani yake, kwa upanga dhidi yake kila upande. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi Bwana.