Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sidonians: Formerly a part of the Phoenician nation

4 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Formerly a part of the Phoenician nation

  1. Yesu aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni.

  2. Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu jirani na hizo akaja kwake akilia, akasema, “Nihurumie, Ee Bwana, Mwana wa Daudi! Binti yangu amepagawa na pepo mchafu, na anateseka sana.”

  3. Ndipo Yesu akaondoka hapo akaenda sehemu za Tiro. Akaingia katika nyumba moja, naye hakutaka mtu yeyote ajue kwamba yuko humo. Lakini hakuweza kujificha.

  4. Basi huyo mwanamke alikuwa Myunani, aliyezaliwa Foinike ya Siria. Akamsihi Yesu amtoe binti yake huyo pepo mchafu.