Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Second Temple: Purified, at the close of his ministry

2 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu Purified, at the close of his ministry

  1. Yesu akaingia katika eneo la Hekalu na kuwafukuza wote waliokuwa wakinunua na kuuza vitu Hekaluni. Akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilisha fedha, na pia viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa.

  2. Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.”