Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Second Temple: Foundation of, laid the second month of second year after the captivity

1 mstari · 49 vipengele

Mistari kuhusu Foundation of, laid the second month of second year after the captivity

  1. Katika mwezi wa pili wa mwaka wa pili baada ya Waisraeli kufika kwenye nyumba ya Mungu huko Yerusalemu, Zerubabeli mwana wa Shealtieli, Yeshua mwana wa Yosadaki na ndugu zao wengine (makuhani, Walawi na wote waliorejea Yerusalemu kutoka uhamishoni) walianza kazi, wakiteua Walawi wenye umri kuanzia miaka ishirini au zaidi kusimamia ujenzi wa nyumba ya Bwana.