Mistari ya Biblia kuhusu The Second Temple: Beautiful gate of, mentioned
Mistari kuhusu Beautiful gate of, mentioned
Basi palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa kiwete tangu kuzaliwa. Alichukuliwa na kuwekwa kwenye lango la Hekalu liitwalo Zuri, kila siku ili aombe msaada kwa watu wanaoingia Hekaluni.