Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sabbath: The word of God to be preached on

5 mistari · 63 vipengele

Mistari kuhusu The word of God to be preached on

  1. Kutoka Perga wakaendelea hadi Antiokia ya Pisidia. Siku ya Sabato wakaingia ndani ya sinagogi, wakaketi.

  2. Baada ya Sheria ya Mose na Kitabu cha Manabii kusomwa, viongozi wa sinagogi wakawatumia ujumbe wakisema, “Ndugu, kama mna neno la kuwafariji watu hawa, tafadhali lisemeni.”

  3. Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa mji walikuja kusikiliza neno la Bwana.

  4. Kama desturi yake, Paulo aliingia ndani ya sinagogi, na kwa muda wa Sabato tatu akawa anahojiana nao kutoka kwenye Maandiko,

  5. Kila Sabato Paulo alikuwa akihojiana nao katika sinagogi, akijitahidi kuwashawishi Wayahudi na Wayunani.