Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sabbath: Blessedness of keeping

2 mistari · 63 vipengele

Mistari kuhusu Blessedness of keeping

  1. Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, mtu yule alishikaye kwa uthabiti, yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.”

  2. Wageni wanaoambatana na Bwana ili kumtumikia, kulipenda jina la Bwana, na kumwabudu yeye, wote washikao Sabato bila kuinajisi na ambao hushika sana agano langu: