Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Righteousness of God: Acknowledge, though the wicked prosper

7 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Acknowledge, though the wicked prosper

  1. Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri.

  2. Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia.

  3. Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.

  4. Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako.

  5. Nilipojaribu kuelewa haya yote, yalikuwa magumu kwangu kuelewa.

  6. Mpaka nilipoingia patakatifu pa Mungu, ndipo nilipotambua mwisho wao.

  7. Wewe daima u mwenye haki, Ee Bwana, niletapo mashtaka mbele yako. Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? Kwa nini wasio waaminifu wote wanaishi kwa raha?