Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Righteousness of God: The gospel

3 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu The gospel

  1. Upendo na uaminifu hukutana pamoja, haki na amani hubusiana.

  2. Yeye ambaye Mungu alimtoa awe dhabihu ya upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake. Alifanya hivi ili kuonyesha haki yake, kwa sababu kwa ustahimili wake aliziachilia zile dhambi zilizotangulia kufanywa.

  3. Alifanya hivyo ili kuonyesha haki yake wakati huu, ili yeye awe mwenye haki na mwenye kumhesabia haki yule anayemwamini Yesu.