Mistari ya Biblia kuhusu The Righteousness of God: Magnify
Mistari kuhusu Magnify
Nitamshukuru Bwana kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la Bwana Aliye Juu Sana.
Ee Mungu, Mungu uniokoaye, niokoe na hatia ya kumwaga damu, nao ulimi wangu utaimba juu ya haki yako.
Wataadhimisha wema wako mwingi, na wataimba kwa shangwe juu ya haki yako.