Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Reward of Saints: Rest

2 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Rest

  1. Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu;

  2. Kisha nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, “Andika: Wamebarikiwa wafu wafao katika Bwana tangu sasa.” “Naam,” asema Roho, “watapumzika kutoka taabu zao, kwa kuwa matendo yao yatawafuata.”