Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Reward of Saints: Not on account of their merits

2 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Not on account of their merits

  1. Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili.

  2. Lakini kwa mtu ambaye hafanyi kazi na anamtumaini Mungu, yeye ambaye huwahesabia waovu haki, imani yake inahesabiwa kuwa haki.