Mistari ya Biblia kuhusu The Reward of Saints: Faithfulness to death
Mistari kuhusu Faithfulness to death
Usiogope mateso yatakayokupata. Nakuambia ibilisi atawatia baadhi yenu gerezani ili kuwajaribu, nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.