Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Reward of Saints: Is inestimable

2 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Is inestimable

  1. Tangu nyakati za zamani hakuna yeyote aliyesikia, hakuna sikio lililotambua, hakuna jicho lililomwona Mungu mwingine ila wewe, anayetenda mambo kwa ajili ya wale wamngojeao.

  2. Lakini ni kama ilivyoandikwa: “Hakuna jicho limepata kuona, wala sikio limepata kusikia, wala hayakuingia moyoni wowote, yale Mungu amewaandalia wale wampendao”: