Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Promises of God: Inherited through faith and patience

3 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Inherited through faith and patience

  1. ili msije mkawa wavivu, bali mpate kuwaiga wale ambao kwa imani na saburi hurithi zile ahadi.

  2. Abrahamu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.

  3. Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi.