Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Promises of God: Fulfilled in Christ

6 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Fulfilled in Christ

  1. Naye ametusimamishia pembe ya wokovu katika nyumba ya Daudi mtumishi wake,

  2. kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani,

  3. kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao:

  4. ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu,

  5. kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu:

  6. “Kutoka uzao wa mtu huyu, Mungu amewaletea Israeli Mwokozi Yesu, kama alivyoahidi.