Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Promises of God: David

5 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu David

  1. Siku zako zitakapokwisha nawe ulale pamoja na baba zako, nitainua mzao wako aingie mahali pako, ambaye atatoka viunoni mwako, nami nitauimarisha ufalme wake.

  2. Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, nimemwapia mtumishi wangu Daudi,

  3. ‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ”

  4. Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu, nami sitamdanganya Daudi:

  5. kwamba uzao wake utaendelea milele, na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua;