Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Mercy of God: Pleaded in prayer

3 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu Pleaded in prayer

  1. Geuka Ee Bwana, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako.

  2. Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani.

  3. Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Baada ya kukemewa na nabii Nathani kwa kuzini na Bathsheba. Ee Mungu, unihurumie, kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, kwa kadiri ya huruma yako kuu, uyafute makosa yangu.