Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Mercy of God: Magnified

8 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu Magnified

  1. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.

  2. Sio kwetu sisi, Ee Bwana, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako.

  3. Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.

  4. Israeli na aseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”

  5. Nyumba ya Aroni na iseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”

  6. Wote wamchao Bwana na waseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.”

  7. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.

  8. sauti za shangwe na furaha, sauti za bibi na bwana arusi, na sauti za wale waletao sadaka za shukrani katika nyumba ya Bwana, wakisema, “ ‘ “Mshukuruni Bwana Mwenye Nguvu Zote, kwa maana Bwana ni mwema; upendo wake wadumu milele.” Kwa kuwa nitairudishia nchi baraka kama zilivyokuwa hapo awali,’ asema Bwana.