Mistari ya Biblia kuhusu The Mercy of God: High as heaven
Mistari kuhusu High as heaven
Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni, uaminifu wako hadi kwenye anga.
Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha;