Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Ishmaelites

32 mistari · 30 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. leteni maji kwa wenye kiu, ninyi mnaoishi Tema, leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi.

  2. Wanaukimbia upanga, kutoka upanga uliochomolewa alani, kutoka upinde uliopindwa, na kutoka kwenye joto la vita.

  3. Hili ndilo Bwana analoniambia: “Katika muda wa mwaka mmoja, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, majivuno yote ya Kedari yatafikia mwisho.

  4. Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” Bwana, Mungu wa Israeli, amesema.

  5. Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;

  6. wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;

  7. wafalme wote wa Zimri, Elamu na Umedi;