Mistari ya Biblia kuhusu The Ishmaelites: Heads of tribes
Mistari kuhusu Heads of tribes
Haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, yaliyoorodheshwa kulingana na jinsi walivyozaliwa: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli ni Nebayothi, akafuatia Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Mishma, Duma, Masa,
Hadadi, Tema, Yeturi, Nafishi na Kedema.
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,
Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.