Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Anger of God: Sin, in saints

6 mistari · 43 vipengele

Mistari kuhusu Sin, in saints

  1. “Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu,

  2. kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu,

  3. nitaadhibu dhambi yao kwa fimbo, uovu wao kwa kuwapiga,

  4. Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako.

  5. Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako.

  6. Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza.