Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Amalekites

78 mistari · 31 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Watu wa kabila la wa Simeoni wapatao mia tano, wakiongozwa na Pelatia, Nearia, Refaya na Uzieli wana wa Ishi, wakavamia nchi ya vilima ya Seiri.

  2. Wakawaua Waamaleki waliobaki, waliokuwa wamenusurika, nao wanaishi huko hadi leo.

  3. Gebali, Amoni na Amaleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro.