Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Steadfastness: Commanded

5 mistari · 40 vipengele

Mistari kuhusu Commanded

  1. Kwa hiyo, ndugu zangu, ninaowapenda na ambao ninawaonea shauku, ninyi mlio furaha yangu na taji yangu, hivi ndivyo iwapasavyo kusimama imara katika Bwana, ninyi wapenzi wangu.

  2. Hivyo basi, ndugu wapendwa, simameni imara na myashike sana yale mafundisho tuliyowapa ikiwa ni kwa maneno ya kinywa au kwa barua.

  3. Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku.

  4. Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana.

  5. Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote.