Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Steadfastness: In holding fast our profession

2 mistari · 40 vipengele

Mistari kuhusu In holding fast our profession

  1. Kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu kuliko wote ambaye ameingia mbinguni, Yesu Mwana wa Mungu, basi na tushikamane sana kwa uthabiti na ule ukiri wa imani yetu.

  2. Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.