Mistari ya Biblia kuhusu Sheep: Of the Jews
Mistari kuhusu Of the Jews
Utenzi wa Asafu. Ee Mungu, mbona umetukataa milele? Mbona hasira yako inatoka moshi juu ya kondoo wa malisho yako?
Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani.
Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, tutakusifu milele; toka kizazi hadi kizazi tutasimulia sifa zako.