Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sheep: Milk of, used as food

4 mistari · 63 vipengele

Mistari kuhusu Milk of, used as food

  1. kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ngʼombe na kutoka makundi ya mbuzi, kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, na kwa ngano nzuri. Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu.

  2. Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili.

  3. Kwa ajili ya wingi wa maziwa watakayotoa, atapata jibini ya kula. Wote watakaobakia katika nchi watakula jibini na asali.

  4. Ni askari yupi aendaye vitani kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye shamba la mizabibu na asile matunda yake? Ni nani achungaye kundi na asipate maziwa yake.