Mistari ya Biblia kuhusu Sheep: Made to rest at noon
Mistari kuhusu Made to rest at noon
Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza,
Niambie, wewe ambaye ninakupenda, unalisha wapi kundi lako la kondoo na ni wapi unapowapumzisha kondoo wako adhuhuri. Kwa nini niwe kama mwanamke aliyefunikwa shela karibu na makundi ya rafiki zako?