Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Serpents: Of enemies who harass and destroy

2 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu Of enemies who harass and destroy

  1. Msifurahi, enyi Wafilisti wote, kwamba fimbo iliyowapiga imevunjika; kutoka mzizi wa huyo nyoka atachipuka nyoka mwenye sumu kali, uzao wake utakuwa joka lirukalo, lenye sumu kali.

  2. “Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu, fira ambao hawawezi kulogwa, nao watawauma,” asema Bwana.