Rukia maudhui

Eve

4 mistari · 5 wanafamilia

Mistari inayomtaja Eve

  1. Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.

  2. Adamu akakutana kimwili na mkewe Eva, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Eva akasema, “Kwa msaada wa Bwana nimemzaa mwanaume.”

  3. Lakini nina hofu kuwa, kama vile Eva alivyodanganywa kwa ujanja wa yule nyoka, mawazo yenu yasije yakapotoshwa, mkauacha unyofu na usafi wa upendo wenu kwa Kristo.

  4. Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Eva.