Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Serpents: Israelites cured by looking at one of brass

4 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu Israelites cured by looking at one of brass

  1. Bwana akamwambia Mose, “Tengeneza nyoka wa shaba na umweke juu ya mti; yeyote aliyeumwa na nyoka anaweza kumtazama na akaishi tena.”

  2. Kwa hiyo Mose akatengeneza nyoka wa shaba na kumweka juu ya mti. Kisha wakati mtu yeyote aliumwa na nyoka, naye akamtazama yule nyoka wa shaba, aliishi.

  3. Kama vile Mose alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu.

  4. Ili kila mtu amwaminiye awe na uzima wa milele.