Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Selfishness

79 mistari · 28 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Kama kweli mnaitimiza ile sheria ya kifalme inayopatikana katika Maandiko isemayo, “Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,” mnafanya vyema.

  2. Ikiwa ndugu yako au dada hana mavazi wala chakula,

  3. mmoja wenu akamwambia, “Enenda zako kwa amani, ukaote moto na kushiba,” pasipo kumpatia yale mahitaji ya mwili aliyopungukiwa, yafaa nini?

  4. Ikiwa mtu anavyo vitu vya ulimwengu huu na akamwona ndugu yake ni mhitaji lakini asimhurumie, upendo wa Mungu wakaaje ndani ya mtu huyo?