Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Selfishness: The love of Christ should constrain us to avoid

2 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu The love of Christ should constrain us to avoid

  1. Kwa kuwa upendo wa Kristo unatutia nguvu, kwa sababu tunasadiki kuwa mmoja alikufa kwa ajili ya wote, kwa hiyo wote walikufa.

  2. Naye alikufa kwa ajili ya watu wote, ili kwamba wote wanaoishi wasiishi tena kwa ajili ya nafsi zao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye aliyekufa na kufufuliwa tena kwa ajili yao.