Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Selfishness: Saints falsely accused of

3 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Saints falsely accused of

  1. Shetani akamjibu Bwana, “Je, Ayubu anamcha Mungu bure?

  2. Je, wewe hukumjengea boma pande zote yeye na wa nyumbani mwake pamoja na kila kitu alicho nacho? Kazi za mikono yake umezibariki na hivyo makundi yake ya kondoo na mbuzi pamoja na ya wanyama yameenea katika nchi nzima.

  3. Lakini nyoosha mkono wako na kupiga kila kitu alicho nacho, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”