Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Self-Righteousness: Ineffectual for salvation

4 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Ineffectual for salvation

  1. Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi,

  2. wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana.

  3. Kwa maana nawaambia, haki yenu isipozidi haki ya Mafarisayo na walimu wa sheria, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.

  4. Kwa hiyo hakuna binadamu hata mmoja atakayehesabiwa haki mbele za Mungu kwa matendo ya sheria, kwa maana sheria hutufanya tuitambue dhambi.