Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Self-Righteousness: Pharisees

3 mistari · 30 vipengele

Tafuta "Self-Righteousness"

Mistari kuhusu Pharisees

  1. Ndipo Bwana akamwambia, “Sasa, enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyangʼanyi na uovu.

  2. Wao wakamjibu, “Sisi tu wazao wa Abrahamu, nasi hatujawa watumwa wa mtu yeyote. Wawezaje kusema kwamba tutawekwa huru?”

  3. Ndipo wakamtukana na kusema, “Wewe ndiwe mwanafunzi wake, Sisi ni wanafunzi wa Mose.