Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Self-Righteousness: Illustrated

3 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Illustrated

  1. “Watu wawili walikwenda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru.

  2. Yule Farisayo, akasimama, akasali hivi na kuomba kwake mwenyewe: ‘Mungu, nakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine ambao ni wanyangʼanyi, wadhalimu, na wazinzi, wala kama huyu mtoza ushuru.

  3. Mimi nafunga mara mbili kwa juma, na natoa sehemu ya kumi ya mapato yangu.’