Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Repentance: There is joy in heaven over one sinner brought to

2 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu There is joy in heaven over one sinner brought to

  1. Nawaambieni, vivyo hivyo kutakuwa na furaha zaidi mbinguni kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.”

  2. Vivyo hivyo, nawaambia, kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu juu ya mwenye dhambi mmoja atubuye.”