Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Repentance: Humility

3 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Humility

  1. kama watu wangu, wanaoitwa kwa Jina langu, watajinyenyekesha na kuomba na kuutafuta uso wangu na kuacha njia zao mbaya, basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na nitaiponya nchi yao.

  2. Huzunikeni, ombolezeni na kulia. Kicheko chenu na kigeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa huzuni.

  3. Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua.