Mistari ya Biblia kuhusu Redemption: All iniquity
Mistari kuhusu All iniquity
Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka dhambi zao zote.
Ndiye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe kutoka uovu wote na kujisafishia watu kuwa mali yake Mwenyewe, yaani, wale walio na juhudi katika kutenda mema.