Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Redemption: Is by Christ

2 mistari · 59 vipengele

Mistari kuhusu Is by Christ

  1. kama vile ambavyo Mwana wa Adamu hakuja ili kutumikiwa, bali kutumika na kuutoa uhai wake uwe fidia kwa ajili ya wengi.”

  2. Kristo alitukomboa kutoka laana ya sheria kwa kufanyika laana kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Amelaaniwa yeye aangikwaye juu ya mti.”