Mistari ya Biblia kuhusu Redemption: Enemies
Mistari kuhusu Enemies
Aliwaokoa mikononi mwa adui; kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa.
Maji yaliwafunika adui zao, hakunusurika hata mmoja.
“Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu, na kukukomboa kutoka makucha ya watu wakatili.”