Mistari ya Biblia kuhusu Punishments: Slaying with the sword
Mistari kuhusu Slaying with the sword
Lakini Samweli akasema, “Kama upanga wako ulivyofanya wanawake kufiwa na watoto wao, ndivyo mama yako atakavyokuwa hana mtoto miongoni mwa wanawake.” Naye Samweli akamuua Agagi mbele za Bwana huko Gilgali.
Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.