Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Punishments: Immediately after sentence was passed

2 mistari · 47 vipengele

Mistari kuhusu Immediately after sentence was passed

  1. Kama mtu mwenye hatia anastahili kuchapwa, mwamuzi atamwamuru alale chini ili achapwe mbele yake idadi ya viboko kulingana na kosa lake,

  2. Yoshua akasema, “Kwa nini umeleta taabu hii juu yetu? Bwana ataleta taabu juu yako leo hii.” Ndipo Israeli yote ikampiga Akani kwa mawe, na baada ya kuwapiga jamaa yake yote kwa mawe, wakawateketeza kwa moto.