Mistari ya Biblia kuhusu Punishments: Without partiality
Mistari kuhusu Without partiality
Kama ndugu yako hasa, au mwanao au binti yako, au mke umpendaye, au rafiki yako wa karibu sana akikushawishi kwa siri, akisema, “Na twende tukaabudu miungu mingine” (miungu ambayo ninyi wala baba zenu hamkuifahamu,
miungu ya watu wanaowazunguka, ikiwa karibu au mbali, kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwingine),
usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.