Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Punishments: Imprisonment

2 mistari · 47 vipengele

Tafuta "Punishments"

Mistari kuhusu Imprisonment

  1. Yeyote ambaye hataitii sheria ya Mungu wenu pia sheria ya mfalme, hakika lazima aadhibiwe kwa kuuawa, kuhamishwa, kunyangʼanywa mali au kufungwa gerezani.

  2. “Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani.