Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Pilgrims and Strangers: Should have their treasure in heaven

4 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Should have their treasure in heaven

  1. “Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.

  2. Uzeni mali zenu mkawape maskini. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, mkajiwekee hazina mbinguni isiyokwisha, mahali ambapo mwizi hakaribii wala nondo haharibu.

  3. Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.

  4. Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani.