Mistari ya Biblia kuhusu Pilgrims and Strangers: Die in faith
Mistari kuhusu Die in faith
Watu hawa wote wakafa katika imani bila kuzipokea zile ahadi, lakini waliziona kwa mbali na kuzishangilia. Nao walikubali kwamba walikuwa wageni na wasiokuwa na maskani hapa duniani.