Mistari ya Biblia kuhusu Pilgrims and Strangers: Shine as lights in the world
Mistari kuhusu Shine as lights in the world
ili msiwe na lawama wala hatia, bali mwe wana wa Mungu wasio na kasoro katika kizazi chenye ukaidi na kilichopotoka, ambacho ndani yake ninyi mnangʼaa kama mianga ulimwenguni.